









Baadhi  ya Warembo watakaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010,  katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Balozi wa Redd's 2o1o katika fukwe  za Mbalamwezi Beach Mikocheni jijini Dar,Wageni waalikwa mbalimbali  walihudhulia tukio hilo.mshindi atatangazwa siku ya Mashindano ya Miss  Tanzania tarehe 11/09/2010 na atakabidhiwa zawadi zake siku hiyo
 
 
 
No comments:
Post a Comment